20252026

HII GAME NI YETU.

Soka la mtaani lenye hadhi ya kitaifa. Tunakuza vipaji, tunajenga undugu, na kutetea heshima ya kwetu.

Ligi moja. Upendo mmoja. Vumbi moja.  |  #1 Grassroots Football League in Tanzania  |  Ligi moja. Upendo mmoja. Vumbi moja.  |  #1 Grassroots Football League in Tanzania  | 

PANDE CUP NI NINI?

"Pande" ni neno la mtaani.
Ni pasi. Ni fursa. Ni nafasi.

Ni ile moment unaposema, "nipe pande" — niamini, niunganishe, nipe nafasi ya kweli.

SOMA HADITHI YETU KWA KINA

Habari 2026

Gorilla Mwakere